marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Feb 6, 2012 #1 Waziri wa Romania amejiuzulu baada ya wananchi kuandamana,kutokana na Uchumi kuzorota ! Wananchi walitishwa ili wasitishe mgomo lakini waliendelea na mgomo wao umezaa matunda! Sisi tunasubiri nini kuhusu huyu waziri wa afya? Source TBC fm
Waziri wa Romania amejiuzulu baada ya wananchi kuandamana,kutokana na Uchumi kuzorota ! Wananchi walitishwa ili wasitishe mgomo lakini waliendelea na mgomo wao umezaa matunda! Sisi tunasubiri nini kuhusu huyu waziri wa afya? Source TBC fm