Habari wakuu,
Mwenye uzoefu wa aina ya gari tajwa hapo juu,anipe 'ABC' natamani kumiliki lkn sijayajua vema ..
Naanza kwenye ubovu..terious hazina balance,zina matatizo sana ya steering lek,kama ilivyo passo
Fuel economic. Mafuta kidogo kama vitz kwa kifupi IPO poa cause INA 4WheelAsante sana mkuu..barikiwa
Haipo poa kama vitz hii inakula mafuta zaidi ya vitz sababu kwanza ina horse power kubwa pili inasukuma matairi yote yaani 4wd, usije ukaangalia kwenye cc zake ukadhani kwa vile ziko sawa basi ulaji utakuwa uko sawaFuel economic. Mafuta kidogo kama vitz kwa kifupi IPO poa cause INA 4Wheel
It is not All time 4wd inavuta Mbele, ukihitaji 4wd unabonyeza Button kuapply.pili inasukuma matairi yote yaani 4wd