M mbingunikwetu JF-Expert Member Feb 17, 2015 13,873 18,433 Apr 11, 2017 #1 Kuna wakati kulikuwa na sakata la wabunge kuomba rushwa kwenye kamati zao na Lugola alikuwemo. Hii ishu iliishaje? Kwa anayejua atujuze!
Kuna wakati kulikuwa na sakata la wabunge kuomba rushwa kwenye kamati zao na Lugola alikuwemo. Hii ishu iliishaje? Kwa anayejua atujuze!
Crimea JF-Expert Member Mar 25, 2014 25,490 35,165 Apr 11, 2017 #2 Teh, wanaona bashite ni muhimu zaidi kuliko hilo la kuhongwa