TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Sadiq Murad waburuzwa mahakamani

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Baadhi ya wabunge ambao uchunguzi umeshakamilika wanapelekwa Mahakamani leo hii.

Ni wabunge wa Kamati za kudumu za Bunge wanaotuhumiwa kushawishi na kupokea rushwa kwa Taasisi za Kiserikali ili kuweza kusaidia taarifa zao ambazo zinamapungufu zipitishwe bila kupingwa

Watapelekwa kwa mafungu (yaani si wote kwa pamoja) bali in groups.

Taarifa zaidi itawajia soon

===========
UPDATES:
===========

Wabunge waliopandishwa Mahakama ya Kisutu ni Victor Mwambalaswa, Sadiq Murad na Kangi Lugola Mbunge wa Mwibara.

Wabunge hao waliopandishwa Kisutu, wanatuhumiwa kumuomba Mkurugenzi wa Halmashauri ya Gairo rushwa ya Shilingi Milioni 30.

Wabunge hao wanakamilisha taratibu za dhamana kila mmoja kulipa Millioni 5 na kesi kusikilizwa April 15.
IMG-20160331-WA0016.jpg

IMG-20160331-WA0014.jpg

Wabunge hao kama waoenekanavyo pichani kutoka kushoto ni Mbunge wa Mwibala (CCM), Mh.Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero (CCM) Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa.

======
TAKUKURU WANASEMA HIVI:

IMG-20160331-WA0029.jpg

IMG-20160331-WA0030.jpg

======
TAMKO LA CCM:
IMG-20160331-WA0031.jpg
 
Baadhi ya wabunge ambao uchunguzi umeshakamilika wanapelekwa Mahakamani leo hii.

Ni wabunge wa Kamati za kudumu za Bunge wanaotuhumiwa kushawishi na kupokea rushwa kwa Taasisi za Kiserikali ili kuweza kusaidia taarifa zao ambazo zinamapungufu zipitishwe bila kupingwa

Watapelekwa kwa mafungu (yaani si wote kwa pamoja) bali in groups.

Taarifa zaidi itawajia soon
Nasubiri sana kuwasikia. Wengine tunawafahamu tangu sekondari kwa upuuzi wao. Hebu tuone kama walipoitwa waheshimiwa waligeuza tabia zao.
Lukuvi aliwahi sema wakitajana madawa ya kulevya, hakuna atakayepona. Hebu wamtembelee atoe anachokifahamu.
 
Back
Top Bottom