Tuhuma za DC kumpiga mwanafunzi ni Police case au ni suala la kimaadili linalopaswa kuundiwa Tume na Waziri?

Huyu DC akinusurika katika hili namshauri aombe uhamisho apotee kabisa Songwe vinginevyo yatamkuta Kama yalivyomkuta DED wa Mpanda miaka kadhaa iliyopita.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nampongeza mh Zitto Kabwe kwa jitihada zake za kuitetea Katiba ya JMT. Awali nilidhani Rais wa JMT hawezi kushtakiwa kumbe siyo

Sasa naomba kuelimishwa hili Suala la DC Simon kudaiwa kumpiga mwanafunzi ni Police case au Suala la kuishughulikia kisiasa na kiajira?

Majilio mema!
BINTI KARIPOTI POLISI LAKINI JANJA JANJA YA KUMLINDA DC IMEANZA
 
Kwanza nampongeza mh Zitto Kabwe kwa jitihada zake za kuitetea Katiba ya JMT. Awali nilidhani Rais wa JMT hawezi kushtakiwa kumbe siyo

Sasa naomba kuelimishwa hili Suala la DC Simon kudaiwa kumpiga mwanafunzi ni Police case au Suala la kuishughulikia kisiasa na kiajira?

Majilio mema!
Vyote viwili, kisiasa na kiajira kwanza, akiondolewa kwenye cheo chake ndipo anaweza kushtakiwa, lakini siyo kabla.
 
Back
Top Bottom