Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,760 Reaction score 3,858 Aug 20, 2020 #1 Habari JF Napenda Sana kuchati Kujua mambo Utani info za mastaa na vingine vingi Kama uko tayari njoo tuchati? NB:Niko professional so usijar
Habari JF Napenda Sana kuchati Kujua mambo Utani info za mastaa na vingine vingi Kama uko tayari njoo tuchati? NB:Niko professional so usijar
I AM NO ONE JF-Expert Member Joined Aug 7, 2020 Posts 388 Reaction score 579 Aug 20, 2020 #2 Nataka kujua kwann alikiba wale vijana kings music walikimbia na walikuwa wana saut nzur sana
Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,760 Reaction score 3,858 Aug 20, 2020 Thread starter #3 I AM NO ONE said: Nataka kujua kwann alikiba wale vijana kings music walikimbia na walikuwa wana saut nzur sana Click to expand... Alichemka management...alikiba n mtu wakufanya mambo yake....hawez kabisa izo habar kujisimamia plus kusimamia mtu
I AM NO ONE said: Nataka kujua kwann alikiba wale vijana kings music walikimbia na walikuwa wana saut nzur sana Click to expand... Alichemka management...alikiba n mtu wakufanya mambo yake....hawez kabisa izo habar kujisimamia plus kusimamia mtu
J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 9,522 Reaction score 20,310 Aug 27, 2020 #4 Top TZ said: Alichemka management...alikiba n mtu wakufanya mambo yake....hawez kabisa izo habar kujisimamia plus kusimamia mtu Click to expand... Kwani si angeajiri meneja wa kuwasimamia tu, mbona walikuwa wakifanya vizuri Halafu Sasa hivi wamepotea?
Top TZ said: Alichemka management...alikiba n mtu wakufanya mambo yake....hawez kabisa izo habar kujisimamia plus kusimamia mtu Click to expand... Kwani si angeajiri meneja wa kuwasimamia tu, mbona walikuwa wakifanya vizuri Halafu Sasa hivi wamepotea?
Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,760 Reaction score 3,858 Aug 28, 2020 Thread starter #5 Johnny Sack said: Kwani si angeajiri meneja wa kuwasimamia tu, mbona walikuwa wakifanya vizuri Halafu Sasa hivi wamepotea? Click to expand... Syo kila mmoja anaweza KUFANYA hayo unayoshauri.....mwingine muda wa kumsimamia mwingine Hana..
Johnny Sack said: Kwani si angeajiri meneja wa kuwasimamia tu, mbona walikuwa wakifanya vizuri Halafu Sasa hivi wamepotea? Click to expand... Syo kila mmoja anaweza KUFANYA hayo unayoshauri.....mwingine muda wa kumsimamia mwingine Hana..
Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,760 Reaction score 3,858 Aug 28, 2020 Thread starter #6 Vile vijaamaa vingekua wasafi vingetisha balaa