Tugawane Samaki....

Heshima kwako Kasinde.......
 
Kasi una vitu nadra wewee.

Maana nikikumbuka tokea enzi zako viCrush sijui viCrash, mara Dubai, mara sijui nini.

Kasi
wewee, nimekuvulia Kofia.

Kwa kweli humu huna Mpinzani

Hahahha jamani mbona Kasie ni mpole tuu bin mtaratibuu hehehehehehe
Usiseme sina mpinzani bana maana sifanyi mashindano ni matukio tuu yanayomkuta Kasie hahahahah.

Halafu kama umenivulia kofia mie nakupigia salute πŸ˜›
 
Wacha wee.

Sijamaanisha mashindano bana πŸ™‚.

Yaani wewe vitu vinakuja vyenyewe, Adimu, na wala hulazimishi.

Kama ni msakata kabumbu kipindi hiki tulichomo, basi wewe ni LIONEL MESSI (10).

Sasa hebu niambie, MESSI anafanya mashindano?

Jibu, hapana. Ni uwezo binafsi
 
Hhahahahaaaa I love your philosophy. Thanks and am humbled πŸ™‚πŸ˜‰πŸ™‚
 
Chautundu na cha uchokozi mzima weye? Haya endelea na fujo zako zinahamisha fikra na kupeleka mbali
 
Chautundu na cha uchokozi mzima weye? Haya endelea na fujo zako zinahamisha fikra na kupeleka mbali

Sijambo kabisa sijui wewe...
Mbona siku hizi nimekuwa mpole kabisa jamani, nimeacha utundu na uchokozi kabisa hehehee. Usiende mbali sana utapotea.
 
Nisamehe Kasie, πŸ™‚.

Sitorudia/Sitarudia tena kosa kama hili/hilo.

Ahsante kwa kuniweka sawa

Jamani waala hujakosea kihivyo bana, usijali nilichukulia kama utani tuu.
Karibuu.
 
Sijambo kabisa sijui wewe...
Mbona siku hizi nimekuwa mpole kabisa jamani, nimeacha utundu na uchokozi kabisa hehehee. Usiende mbali sana utapotea.
Kwa uchokozi wako acha kwenda mbali hata nikipotea kabisa sijali.
 
Jamani waala hujakosea kihivyo bana, usijali nilichukulia kama utani tuu.
Karibuu.
Nakuelewa vizuri sana Swahiba Kasie, wala sijatoka hata chembe nje ya Mpaka πŸ™‚.

Nashukuru sana, na nimeshakaribia😎
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…