W Waambi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 737 Reaction score 81 Dec 5, 2012 #1 Tukiacha sherehe za dini, maazimisho yote yafanyike angalau mara 1 baada ya miaka mitano. Sherehe kama za Uhuru, Muungano na nanenane zinapoteza fedha na muda mwingi.
Tukiacha sherehe za dini, maazimisho yote yafanyike angalau mara 1 baada ya miaka mitano. Sherehe kama za Uhuru, Muungano na nanenane zinapoteza fedha na muda mwingi.