Jembebutu
Member
- Feb 14, 2017
- 88
- 225
Wanasema ni serikali sikivu,haki kwa wanyonge, uhusiano mzuri wa kimataifa na hatutaki kuharibu uhusuano wetu na Msumbiji. Kama ni kiherehere chako kwenda kuishi kwa watu pigwa tu hatusemi lolote. Bakwa,taifishwa,fukuzwa utajua wwe.
Ni kweli serikali imeshimdwa kuwatetea hawa watu? Ina maana tupo busy sana kujenga uchumi so hayo hatuyaoni. Hata kama walienda kinyemela, katiba yetu haiwatambui? Hatupaswi kuwatetea? Wao hawapo kwetu kinyemela? Yaani wanasema ni halali? Balozi kasema nini kuhusu hilo? Anyway ndio Tanzania yetu. Poleni ndugu zetu kutoka msumbiji. Mpaka sasa ni zaidi ya watanzania 5000 wamefukuzwa msumbiji na bado wanakuja. Eeh Mungu tusaidie,,,,