Kati ya mikoa migumu kutusua na huo mmojawapo kwa lengo la kutafuta ajira tena white collar kama ulizotaja hapo. Kuna mwaka nlikuwa hapo baada ya kugraduate aisee zaidi ya vibarua kule tumbaku, kiwanda cha nguo, labda ubebe kreti za pepsi. Kazi za kutumia akili hazipo kwenye huo mji zaidi ya manguvu.