mandinka
Senior Member
- Apr 21, 2014
- 186
- 37
Habri za asb wana jukwaa!
Katika pita pita zangu barabarani,hasa barabara ya bagamoyo kutoka mwenge mpk tegeta.Hii barabara bado ni mpya hata miaka 2 bado haijafikisha.
Lakini hii barabara imebonyea na ishatengeneza partition au tenganisho katikati utafikiri ni ya miaka 10 iliopita .Hasa kutoka kawe kawe hivi mpk mwenge,ingawa kuna sehemu ukienda nayo mpk tgt utaona.swali langu ni huu muonekano ni kwamba magari yamepita yenye uzito sana au ilitengenezwa chini ya kiwango?
Jamani kodi zetu zinapotea tuuuu,sitaki kuja kusikia mwaka ujao tusitisha kunywa wine kwenye sikukuu ya uhuru ili hizo hela zikarabati barabara.
Mainjinia mliopo humu ambao hamjapewa phd zetu za barabara kwa kupewa kama za akina baba swalehe mtuambie hili ni kawaida????
Karibuni!!