jina lako tosha kabisa na mawazo yakoWaböngo kwa doublestandardshatufai.
Polisi wakiwabonda CHADEMA kwa kukiuka amri halali wanakuwa wavunjifu wa haki za binadamu na wanaonekana wako juu ya sheria. Yaliyomkuta boko na mamba yamemkuta, leo kila mbongo mkristo anawasifu polisi kwa kuwadhibiti mujahedeen.
Tuendeleeni tu na uzandiki, ila jueni kuwa hawa mapolisi hawana undugu ofisini, unyama niliouona kideoni sio wa kushabikia hata kidogo...
Waböngo kwa doublestandardshatufai.

sikujua bongo kuna 'mujahideen'?! lol, wamatumbi kwa kujipendekeza na tamaduni za wengine hamjambo! seriously, kuigaiga kutawatokea puani, basically sijaelewa kwanini polisi hawajutumia risasi za moto, i think these 'mujahideen' fully deserved it.
Waböngo kwa doublestandardshatufai.
Polisi wakiwabonda CHADEMA kwa kukiuka amri halali wanakuwa wavunjifu wa haki za binadamu na wanaonekana wako juu ya sheria. Yaliyomkuta boko na mamba yamemkuta, leo kila mbongo mkristo anawasifu polisi kwa kuwadhibiti mujahedeen.
Tuendeleeni tu na uzandiki, ila jueni kuwa hawa mapolisi hawana undugu ofisini, unyama niliouona kideoni sio wa kushabikia hata kidogo...
he he..wishes zake are my commands..si unaona nikishamaliza mjeledi mmoja napewa mineno mingine ya kimahabat ya kunihamasisha niendelee? mwe !Afu na wewe huyo kwenye avatar utamcharaza hadi lini? Mbona huna huruma jamani, hata kama ni spanking hii too much.
Vitu viwili tofauti, CDM hawakupiga mtu wala kuharibu mali ya mtu yeyote, pia walikuwa na kibali mkononi cha kuruhusiwa kuandamana. Isitoshe CDM walipokusanyika hawakuwa na siraha au dalili za kufanya fujo, walikusanyika wakilenga lengo la mkusanyiko. Sasa waisilamu kibali/taarifa ya maandamano hawajatoa, wanaandamana kwa kufunga barabara kwa mawe na kuchoma matairi, siraha za kujihami mkonono(visu na mawe), maneno ya kushiria shari. isitoshe hapo kabla walishachoma makanisa nakuharibu mali za makanisa kadhaa huku wakiiba sadaka kwa njaa zao.
Huwezi ukalinganisha majambo haya hata kidogo
Waböngo kwa doublestandardshatufai.
Polisi wakiwabonda CHADEMA kwa kukiuka amri halali wanakuwa wavunjifu wa haki za binadamu na wanaonekana wako juu ya sheria. Yaliyomkuta boko na mamba yamemkuta, leo kila mbongo mkristo anawasifu polisi kwa kuwadhibiti mujahedeen.
Tuendeleeni tu na uzandiki, ila jueni kuwa hawa mapolisi hawana undugu ofisini, unyama niliouona kideoni sio wa kushabikia hata kidogo...
Wacha watiwe bakora na kazi ngumu gerezani kwa miezi sita, yaani madokta wamegoma na kero za umeme wamekaa kama picha za ukutani. Ila mshenzi Ponda wamemkamata kumuhoji wanaandamana...........hawawote wapelekwe wakafanye kazi ngumu kidogo.
Endeleeni na fujo zenu muone kama hamjabaki kuwa ombaomba wa madukani na mabarabarani baada ya kuvunjwa miguu na kubaki viwete. Mnafanya upuuzi mnadhani tutawaacha. CDM walikuwa wanapewa vibali kisha polisi wanatangaza kubatilisha uhalali wa vibali walivyopewa na sio kama unavyosema weweAcha uongo wewe ndo nyie wanafiki wenyewe mnapotosha jamii..kule morogoro wchadema alivyopigwa mabom walikua na kibali?walipewa kibali cha mkutano wao wakafanya maandamano,kwahiyo umeona hawa polisi ni wehu wawape kibali halaf wakawapige mabomu??