Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Unaomba kupitia NACTE mkuu au kwenye chuo husika na maombi yameanza kutumwa kuanzia machi 4 hadi may 31jmn nataka kusoma dip ya shule za msingi nieleweshe taratibu zikoje za kuomba
Sijakuelewa mkuu ulivyosema hawasomi?Diploma ya ualimu wanachukua hawasomi.
Muda ni mwingi kuliko skills na knowledge unayotakiwa kupata
Nimemaanisha ukienda chuoni unaenda kuchukua.Sijakuelewa mkuu ulivyosema hawasomi?
Higher diploma ni tofauti kidogo mkuu kwanza ni 3yrs kama bachelor na wengi wanaoenda kule wana vigezo vya kusoma Bach na kwa wa sayansi wana mikopo kama Bach... Higher diploma walivyoiseti Mzee mhhh hatarDiploma ya ualimu wanachukua hawasomi.
Muda ni mwingi kuliko skills na knowledge unayotakiwa kupata
hilo janga.........Duuh ktk guide book wameweka 2yrs kwa higher diploma and not 3yrs
Hapo vp kiongozi!!!