Tuelimishane kuhusu torrents

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
Wakuu Kuna watu wengine humu hatuna acces za kompyuta so tunatumia cm ...sasa nilikuwa naomba kupatiwa elimu khs ku download movie kwa kutumia cm je movie kwa kawaida huwa zina ukubwa kiasi kwa wastani( km ni gb au Mb kadhaa) ntafurahi sana km ntapewa process nzima ya kudownload movie kwa kutumia torrents ....cm ninayotumia ni Nokia lumia 610
 



Movies zina sizes kuanzia 700MB kuendelea, max average ni kama 4GB ingawa inzweza kubwa kuliko hapo depends on ripping format.

Ku download torrent tumia torrent client yoyote iliyo compatible na device yako, myself napenda flud, ni nzuri sana based on low power consumption, unaweza ku download muda mrefu bila kumaliza battery tofauti na uTorrent client
 
Kama unataka movies za quality nzuri tumia yify torrents yts.com ili kutunza taarifa zako nakushauri ufungue account humo.

Kama unahitaji torrent client yenye speed nzuri nakushauri utumie VUZE ni chaguo langu....
 
Sidhani kama utaweza kudowload torrents kwenye WP7, hata WP8 ni shida tupu, kama unataka torrents simu ya Android ndio inafaa.
 
simu yako ni 480p hivyo huna haja na hd. movie moja kuangalia kwenye simu yako itakua around 300mb.

1. kwa torrent.
nenda site yoyote ya torrent chagua movie halafu copy magnet url kisha fungua m.zbigz.com halafu paste url yako click go. watadownload zbigz then movie ikikamilika na wewe idownload. usidownload file la zip download movie yenyewe

2. kwa kawaida
nenda fzmovies.net chagua movie unayotaka then download vizuri uwe na ucbrowser maana inasuport background downloads.

3. kwa youtube
download app kama metrotube halafu chagua movie (nyingi ni za zamani) utadownload kisha utaplay.

angalizo
windows phone inasave mafile kwenye hub husika kama utadownload na metrotube basi ukitaka kuiplay hio video itabidi uiplay tokea humo humo kwenye metrotube na haitaenda kwenye video.

pia vizuri udownload mafile ya mp4 maana kwa wp7 sidhani kama kuna app ya kupkay mkv na flv
 

asante sana mkuu waweza nambia hyo flue inapatikana vp? Mi ni mgeni kidogo kwny mambo hya
 

Mkuu Mm sio Mzoefu Sana Na Windows PhoNe Ila Kama Uki Install File Explore Huwez Ku Open Kwenye File.. Maana Nliwah I Download Kwenye Smu Ya Jamaa ang Na Ilikia Unaeza Create Hata New Folder maana mwanzon Tulikuta ma Folder ma nne tuu la Vdeo, audio Na Images
 

kaka yani wp kila app inasave mafile kwenye folder lake ina maana kama utadownload video kwa kutumia app x basi ili uplay hio video itabidi ufungue app x kwanza halafu ndio unaplay. unless hilo file liwe limeruhusiwa kumove kama vile picha.

ila kwenye wp8.1 wameshaeka feature ya downloads hivyo finally kutakua na file manager zinazofanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…