Abuubakar Mkonda
Member
- Feb 25, 2019
- 25
- 15
nasubir pia namimi nijifunze kituNaomba kwa mwenye ujuzi na huu utaalamu wa kutotolesha mayai kuku kwa kutumia pumba
maana ni tegemeo langu kuwa kuna wataalamu weng kwenye masuala ya ufugaji
Asante
Kwa utaalamu nilio kuwa nao kidogo nilikuwa nafuga kuku na hutaga mayai mengi ila alikuwa hatotoi nikawa nafanya hvi. Akitaga mayai nayachukua na weka kwenye ndio au Jana na weka na pumba maana pumba huzalisha joto jigi inapelekea kutoto kwa mayai Yale Baada ya siku 21Naomba kwa mwenye ujuzi na huu utaalamu wa kutotolesha mayai kuku kwa kutumia pumba
maana ni tegemeo langu kuwa kuna wataalamu weng kwenye masuala ya ufugaji
Asante
Mayai unayaweka kwenye ndio au janaKwa utaalamu nilio kuwa nao kidogo nilikuwa nafuga kuku na hutaga mayai mengi ila alikuwa hatotoi nikawa nafanya hvi. Akitaga mayai nayachukua na weka kwenye ndio au Jana na weka na pumba maana pumba huzalisha joto jigi inapelekea kutoto kwa mayai Yale Baada ya siku 21
π€π€π€π€π€πππππ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈMayai unayaweka kwenye ndio au jana
Sorry ndoo au JanaMayai unayaweka kwenye ndio au jana
π€π€π€π€π€πππππ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈ
Ok this is new nitajaribu. Lakini ukiyafukia mayai na pumba si vifaranga vikitoka vitakufa?Sorry typing error ndoo au jaba
Ok this is new nitajaribu. Lakini ukiyafukia mayai na pumba si vifaranga vikitoka vitakufa?
Kifaranga hutotolewa kwa siku 21 sasa unatakiwa kuwa makini sana na huangaligu juu ya mayai yako pale ambapo utakapo weka kwenye pumba.Sometimes wanatumia machine ya kutotoleshea vifaranga( incubator)
Kwa utaalamu nilio kuwa nao kidogo nilikuwa nafuga kuku na hutaga mayai mengi ila alikuwa hatotoi nikawa nafanya hvi. Akitaga mayai nayachukua na weka kwenye ndio au Jana na weka na pumba maana pumba huzalisha joto jigi inapelekea kutoto kwa mayai Yale Baada ya siku 21
Mkuu naomba ufafanuzi kidogo kuhusu hili maana mm mwenyewe nataka kujaribu huu mbinuKwa utaalamu nilio kuwa nao kidogo nilikuwa nafuga kuku na hutaga mayai mengi ila alikuwa hatotoi nikawa nafanya hvi. Akitaga mayai nayachukua na weka kwenye ndio au Jana na weka na pumba maana pumba huzalisha joto jigi inapelekea kutoto kwa mayai Yale Baada ya siku 21