Kwa uzorfu wangu, naona wataalamu wengi especially Clinical Officer, wanasomea short course kwa ngazi ya cheti 6 months mpaka mwaka mmoja inategemea na Chuo kama upgrade, kwa ngazi ya Degree mara nyingi naona Nurse ndo wanasomea ingawa binafsi sijaona sababu ya CO kutokwenda kusomea anaesthesiology kwa ngazi ya degree, so naamini inawezekana