jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 May 7, 2016 #1 Habari ndio hiyo! Sijui kama tutapona maana wameanza wa sukari, watafuata wabeba zege, wakandarasi wesharukiwa, wafanyakazi wa serikali wameishiwa appetite ya kuchapa kazi.
Habari ndio hiyo! Sijui kama tutapona maana wameanza wa sukari, watafuata wabeba zege, wakandarasi wesharukiwa, wafanyakazi wa serikali wameishiwa appetite ya kuchapa kazi.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,560 Reaction score 51,901 May 8, 2016 #2 1 ZWD = 6.05029 TZS tarehe nane mwez wa tano 2016
Sukari Yenu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 1,698 Reaction score 1,261 May 8, 2016 #3 Hela yetu ishakua jipu?
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 May 9, 2016 Thread starter #4 Inaelekea hela zao wanachapa kwenye photocopy pale pale harare.