nyondoloja
Senior Member
- Nov 10, 2010
- 189
- 52
Hilo dish ni size gani,na unatumia receiver ya aina gani? Mimi nina dish 6ft je unaweza kunifungia hivyo ulivyofanya? Je upo wapi? Mimi nipo Dar (w)Temeke Yombo Makangarawe. Nini charge yako?
mkuu naomba weka namba kwenye hizo Lnb ili tujue unaongelea ipi'halafu tunaomba tujue na majina ya kila Satelite inayotumika kwenye Lnb'pia feequence??
mkuu mii nipo tunduma dishi unayoiona ni futi 6 kuhusu charge tunaongea
Tunduma upande gani??mie nipo vwawa pleas naomba contact zako!!!
mkuu naomba kujua kama chanel za USA zinapatikana hapo kama MSNBC??
Inapatkana
Inapatikana kwenye Lnb ipi kati ya hizo hapo juu??satelite na freequence ni zipi?
68.5e cbd angalia link hapo juu
mh mkuuu mm nahtaj kuelekezwa jins ya kuweka hzo degree unatumia kigezo kipi