Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

nyondoloja

Senior Member
Nov 10, 2010
189
52
JF wazima?

Pata ujuzi kidogo nawe kama una maujanja ongeza wengi wetu tumejaza madishi nyumbani kwetu
kwakutumia mfumo huu unaweza ukapunguza. Dishi 1 ft 6 unaweza kufunga LNB sita CBD-3 na KU-3 ukituli hadi CBD 4

dishi.JPG
Angalia hi picha nilivyo funga hapa nyumbani

Tuanze na hii chini 36.0e kwenda juu 78.5e

36.5e Euntelsat 36A-36B hapo zinapatikana za DSTV, AGAPE, ZAP, nk
57.0e NSS 12 hapo zinapatika za ZUKU, na FTA kenya
64.2e lntelsat 906 hapo za tanzania mzq nk
68.5e lntelsat 20 KU kuna za sauzi,naijelia,dini nk
68.5E lntelsat 20 CBD kuna iljzr,kihindi nk
76.5e Apstar 7
78.5e Thaicom 5

76.5e na 78.5e hizi satellite kufunga unabalansi unazipata zote
68.5e CBD na 68.5e KU zinakaa sehem moja CBD chini KU juu
kama huwezi kuchonga zipo dukani zilizo shikana cbd na ku

freq kwenye link hapo chini

78.5eThaicom5
76.5eApstar7
68.5eCBDnaKU
64.2elntelsat906
57.0eNSS-12
36.0eEutelsat36A-36B

Habari zaidi, soma=>Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

mh mkuuu mm nahtaj kuelekezwa jins ya kuweka hzo degree unatumia kigezo kipi
 
Hilo dish ni size gani,na unatumia receiver ya aina gani? Mimi nina dish 6ft je unaweza kunifungia hivyo ulivyofanya? Je upo wapi? Mimi nipo Dar (w)Temeke Yombo Makangarawe. Nini charge yako?
 
mkuu naomba weka namba kwenye hizo Lnb ili tujue unaongelea ipi'halafu tunaomba tujue na majina ya kila Satelite inayotumika kwenye Lnb'pia feequence??
 
Hilo dish ni size gani,na unatumia receiver ya aina gani? Mimi nina dish 6ft je unaweza kunifungia hivyo ulivyofanya? Je upo wapi? Mimi nipo Dar (w)Temeke Yombo Makangarawe. Nini charge yako?

mkuu mii nipo tunduma dishi unayoiona ni futi 6 kuhusu charge tunaongea
 
mkuu naomba weka namba kwenye hizo Lnb ili tujue unaongelea ipi'halafu tunaomba tujue na majina ya kila Satelite inayotumika kwenye Lnb'pia feequence??

icheki picha yahiyo dishi LNB kunanamba za satellite zimewekwa chini kunamaelezo yake
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom