Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Wewe unakiwanja sqm 520..unahitaji gari IST au Raum...nadhani nimeelewa sahihi mkuu.
Mkuu kuna IST namba ABA hapa, njoo tufanye 'batter trade' tujikumbushie biashara za enzi za ujima
Wakuu samahani gqri nqmba kuanzia tafadhali wengi wananifata inbox nqmba ni A na B na C naomba namba D
Habari wadau, tafadhali nahitaji gari aina ya ist au raum ila tufanye exchange na kiwanja kigamboni kimbiji ambacho kina hati tayari toka ardhi ukubwa ni sqm 520
Kwa mawasikiano nicheki 0762987034
Asanteni
Kiwanjq chqngu kina thamani ya mil 8
Uza kiwanja.. kisha nunua gari .. barter trade ilikuwa enz za ukoloni..
Kahtan mbona wabagua umri wa gari kihivyo, kwani kati ya hiyo ardhi/kiwanja yako na gari namba ABA kipi kimekula umri zaidi?Wakuu samahani gqri nqmba kuanzia tafadhali wengi wananifata inbox nqmba ni A na B na C naomba namba D
Kwa nini usikiuze kwa milioni 8 hiyo ukapata cash kisha ukanunua gari unalotaka
Hakuna kitu kigumu sasa hivi kama kuuza kiwanjaSasa hv cash mtihani ndugu kuna wengi wanaotaka kuuza asset zao ila wapate asset nyingine
Hakuna kitu kigumu sasa hivi kama kuuza kiwanja
Kahtan mbona wabagua umri wa gari kihivyo, kwani kati ya hiyo ardhi/kiwanja yako na gari namba ABA kipi kimekula umri zaidi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aseeeeKahtan mbona wabagua umri wa gari kihivyo, kwani kati ya hiyo ardhi/kiwanja yako na gari namba ABA kipi kimekula umri zaidi?