Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,784
Hata kibanda cha nyasi alikua hana, lakini ni miaka 2000 sasa anatukuzwa na kuabudiwa.Yesu alioa na miaka ngapi vile?
Ha ha ha ha ha
We ni kenge Ebu soma post yako ya 5Mtoto atamuacha mamaye na atamfuata mwenzi wake/nendeni duniani mkazae na muongezeke
Sio lazima, lazima ni kuijaza nchi.Kwani kuolewa/kuoa lazima?
Kwa nini usipate mkuu...
Mwanamke miaka 35 hujaolewa,unatatizo gani?
Mwanaume miaka 45 hujaoa nawe unatatizo gani?
Chukueni hatua wakuu,msijekuwa 'reject'
Yaaaas!πππSio lazima, lazima ni kuijaza nchi.
Kwani kuolewa/kuoa lazima?
Yani jana umeniacha leo unatangaza kutaka kuoana?ππ[emoji23][emoji23][emoji23] tuoane joanah.
ha ha ha ha una miaka mingapi?We ni kenge Ebu soma post yako ya 5
Unasema hadithi za kusadikika lkn una Fanya nukuu kitabu hicho hicho
We ni Mpumbavu
Na wengi wanaokosa huwa kama vile wamechanganikiwa....wanakuwa wakali,na kuwa na hasira ambazo si za msingi.Anaweza asipate sababu hajaona anayefaa kuspend the rest of his/her life with
ha ha ha haHatupendi hiyo itokee kama inabidi tu muda mwingine
Na wengi wanaokosa huwa kama vile wamechanganikiwa....wanakuwa wakali,na kuwa na hasira ambazo si za msingi.
Yani jana umeniacha leo unatangaza kutaka kuoana?[emoji23][emoji23]
Aibu nimeona mimi teh!
Fanya utafiti mkuuKuhusu hilo sina uhakika
Nimegundua maisha yangu bila ww hayajakamilika. Turudiane bana, au ndio tayari pengo limezibwa.
Leo ndio nimeamini maneno ya Don Clericuzio
Yani uko na go and return za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]
Unagive up halafu baada ya muda unapata nguvu upya [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe mchawi wangu ni huyo...[emoji3][emoji3][emoji3]
Nitamkomesha[emoji125][emoji125]