Kibo Match Sidhani kama bado kinafanya KaziKiwanda cha kiberiti kipo moshi kibomatch
Kinapiga kazi kama kawaKibo Match Sidhani kama bado kinafanya Kazi
Acha uongo labda vibiriti vya gas . Ila vibiriti kama . Kasuku na kangaroo tunatengeneza nchini. Murzah na dewji wanatengeneza. Kuhusu toothpick sina uhakika.Ni aibu hata Viberiti na toothpick tunaagiza
Tunayo maengineer na tunayo wafanyabiashara