Tuandamane kabla ya kamati ya bunge


ni kweli
 
na kawaida wanaokua na midomo mirefu ya kuchochea maanadamano hawasogezi pumb..... zao ila wanakimbia kwani we unashindwa kwenda peke yako wala sio nidhamu ya woga bali tunabidi tuelewe kua tatizo la kiuchumi lipo ktk kila pembe!

Nadhani hali ngumu ya maisha inafaa itazamwe kwa upeo wa hali ya juu kama ulivyoliona ndugu. Hongera , wanahitajika wengine kama wewe badala ya ushabiki usiyo na tafakari za kina. Big up
 
ni vizuri tukaambatana j3 hii tena tukakutanie mnazi mmoja kupitia morogoro road, tuanzie shekilango.
watu wa mikoani waelekee viwanja vya michezo vya mikoa k.m. uwanja wa majimaji, sokoine,chilumba,mkwakwani e.t.c.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…