Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,442
- 17,925
Ningetamani israel nao waonje hata ¼ ya machungu waliyopitia wapalestina. Sema ndio hivyo, hamna namna.Waache si wanajifanya wabishi
Wananchokoza mtu mwenyesiraha wacha wafeNingetamani israel nao waonje hata ¼ ya machungu waliyopitia wapalestina. Sema ndio hivyo, hamna namna.
Hayajatimia. Galat waziri wa ulinzi wa israel alikuwa na nia ya kuimaliza kabisa Hamas. Kumbe hamas ipo kwenye miyoyo ya watu.Malengo ya Israel yaliyo wapeleka Gaza yametimia ?
Aaah wapi!! Kujifariji tu....babu, gaza imechakazwa. Acha kabisa.Mbona wapenz wa Palestinians hapa Tanzania wanasema Israel anabondwa kama ngoma huko Gaza.
Wamalizane nao tu...njuguMiez zaidi ya 9 sasa israel ametumia zaid ya mabilion ya dollar lakn hakuna alichofanikiwa zaid ya kuua watoto, hadi sasa kwaio zaid ya mateka 100 ndo wamefanikiwa kuwaokoa wanne
Anabondwa ndio kila siku wewe hujuiMbona wapenz wa Palestinians hapa Tanzania wanasema Israel anabondwa kama ngoma huko Gaza.
Eti wanamtegemea allah,yeye mwenyewe anasaidiwa hukumu zake na wanadamu(magaidi) yaani it is very fikirish!Wananchokoza mtu mwenyesiraha wacha wafe
Hamas oktaba 7 mafanikio yao ilikuwa uharibifu na ndio maana kulikuwa na ringtone kibao za allah akbar na Israel nae kajibu kwa uharibifu ambao kimzani kafanikiwa kuliko kobazi,au nyie ni kama mjusi kwamba akikatwa mkia safari inaendelea?!!Miez zaidi ya 9 sasa israel ametumia zaid ya mabilion ya dollar lakn hakuna alichofanikiwa zaid ya kuua watoto, hadi sasa kwaio zaid ya mateka 100 ndo wamefanikiwa kuwaokoa wanne
Wenzako wanauliwa we upo tandare umevimbiwa mahindi unawapa fix watuHayajatimia. Galat waziri wa ulinzi wa israel alikuwa na nia ya kuimaliza kabisa Hamas. Kumbe hamas ipo kwenye miyoyo ya watu.
Hivyo ili malengo yatimie ni lazima kuuwa watu wate wa gaza.. kitu ambacho hakwezekani
Hawajafanikiwa. Wewe ni kichaaaMiez zaidi ya 9 sasa israel ametumia zaid ya mabilion ya dollar lakn hakuna alichofanikiwa zaid ya kuua watoto, hadi sasa kwaio zaid ya mateka 100 ndo wamefanikiwa kuwaokoa wanne
he Washington InstituteNimeona na kusikia mpango wa mazungumzo ya kuachiwa kwa mateka wanne wa israel wanaoshikiliwa na Hamas. Nimeshangaa sana.
1. Hamas wanafanya njni na hawa watu ambao hawana maana yoyote kwao? Na kuendelea kuwa shikilia ni kuendelea kujiweka katika mazingira hatarishi ya kushambuliwa na hata kusababisha vifo.
2. Israel imeuwa maelfu ya watu wa palestina wengi wakiwa ni watoto na wamama. Kuna sababu gani ya kuendelea kushikilia watu wa4? wamalize kazi angalao kuongeza hasara kwa israel.
3. Mji wa Gaza kwa sasa umekuwa magofu baada ya israel kubomoa 95% ya majengo yote yaliyopo kule gaza. Hii inanikumbusha mji wa Aleppo uliopo kule syria ulivyoaribiwa na majeshi ya serekali wakati wakipambana na makundi ya kigaidi ya isis.
3. Mji wa Gaza umechakazwa vibaya mno. Itachukuwa muda mrefu sana kuja kuujenga tena.