Arnomos
Member
- Jun 5, 2015
- 30
- 25
Kuna mzee mmoja nilionhea naye na aliniambia kitu kizuri sana.
Alisema, Unajua hivi vyama vya siasa, vinapewa ushindi na watu wasiokuwa na vyama. Mfano, wale ambao wao sio either CHADEMA au CCM, wao ndio huvipa ushindi vyama hivi kwasababu, unlike wale wenye ushabiki wa vyama, hawa husikiliza sera za mgombea na kumchangua mgombea kulingana na sera zake.
Pia alisema, Katika jamii kuna Wakristo na Waislamu. Kwa mkristo kum-diss Mtume Mohamad yeye haoni shida kwasababu yeye sio Muislamu. Na pia kwa Muislamu kum-diss Yesu, yeye haoni ahida kwakuwa yeye ni Muislamu. Hivyo hivyo kwa wananchi wenye ushabiki wa vyama, hawa ni ile aina ya watu ambao, wao, no matter what, hawawezi kukikosoa chama chao. Kama mwanasheria mkuu alipokuwa akihojiwa kuhusu regality ya Rais kuzuia maandamano ya UKUTA alijibu in a way that inakufanya um doubt na kushangaa, is this really a person ambaye ndo amepewa dhamana kubwa namna hii? Lakini ukikaa ukiangalia, unakuta anajibu vile, ili tu kulinda tumbo lake.
Kwahiyo Watanzania wenzangu, tuachane, tuachane, tuachane na ushabiki wa vyama. Akiongoza CCM na akaleta maendeleo, ofcourse yatakugusa hata wewe wa chama Kingine. Akiongoza CHADEMA na akaleta maendeleo, hata wewe yatakufikia tu. Huu ushabiki wa vyama ndo unaotu ulia nchi.
Kwa mfano kuna thread nimeiona huku kuhusu Magufuli ku invest kwenye kununua ndege na kutozipa uzito huduma nyingine. Sasa cha ajabu, utakuta mtu ame argue na aka make sense lakini atakuja tu mtu ambaye yeye ana U-CCM damuni na kuanza kutetea, without actually evaluating the reasoning ya watu wengine.
Mwingine enzi za UKUTA alikuwa ana suppprt anasema eti nchi haiwezi kuendelea bila u-dikteta, na just imagine, huyo ni mtu mwenye degree ya shule kabisa. What a shame!
Unapo mkosoa Rais katika uongozi wake, sio ku-beef, ni kumsaidia. Kumkosoa kuna muonyesha kuna kitu hiki na kile ame ki-miss au amekikosea. Na ndio maana vyama vya upinzani vinashindaga mioyo ya wananchi wengi kwasababu vyenyewe huwa vina kosoa bila kuogopa.
Tuachane na ushabiki wa vyama jamani. Kukaa miaka 50 na kitu, bila kuwa na maendeleo ambayo wananchi wanaweza kuyafurahia is nothing.
In the meantime, naiomba serikali ya awamu ya tano ii- disolve tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuunda tume mpya yenye wawakilishi wa vyama vyote kwa uwiano wa sawa sawa kuanzia wawakilishi na ushikaji wa madaraka ya juu ya Tume hiyo.