Tuachane na michepuko

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,883
Reaction score
61,613
Ukiwa na mchepuko ambaye ni mke/mme wa mtu kihisia huwa inaumiza sana hasa pale yule mchepuko anapokuwa na mume/mke wake.Unahisi kama vile anakusaliti,kwa kujiuliza ninapopita mimi na yule naye anapita palepale.Kama jamii haitakuwa makini ni rahisi ndoa ya yule mchepuko kuto kustawi.
 
Najaribu tu kumkumbuka Mfalme Suleiman na wake zake mia 7 na michepuko mia 3.... (Niko bar lakini)
 
Utamu wa penzi la wizi kuukatisha inahitaji roho mtakatifu,
Lakini hujaona inaweza ikasababisha maafa;nakumbuka kuna mchepuko mmoja alikuwa hataki kusikia nikiwa na mke wangu
 
Tafuta mchepuko ambaye hajuani na mkeo!
Kuna wawili nilikuwa nao ni balaa.......malengo yangu hayatimii ila ya kwao yanatimia;kila mmoja yuko kimaslai,huyjakaa sawa mizinga
 
Kuna wawili nilikuwa nao ni balaa.......malengo yangu hayatimii ila ya kwao yanatimia;kila mmoja yuko kimaslai,huyjakaa sawa mizinga
hahahaa ni sawa pia, kwanini wakae kwenye uhusiano hauna faida?
 
Kampani kwani si una mke?
Kuna mazingira yananifanya wakati mwingine niwe mbali na family;mfano kikosi cha marekani kilichopo Japan kimeacha wake/familia zao marekani.
 
Yah Pombe haijawahi msaliti mwanaume!
Bora upige pombe tu,kuna wakati ukiongea na watoto unahisi kujiingiza kwenye michepuko kwa asilimia kubwa inaweza kuharibu malengo ya watoto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…