Kuipiku Tigo Pesa na Mpesa ni kazi ngumu, Airtel money wenyewe wapo wapo tu.
Ni vigumu kuwatoa Watanzania kwenye kitu walichokizoea tangu na tangu.
Wangebuni biashara nyingine na sio kila biashara inayofanywa na haya makampuni basi wote wafanye .
yeye ttcl anabaki na bei cheap sababu ana ruzuku..
Hicho ndicho kinachoua haya mashirika ya umma, yanatakiwa yajiendeshe yenyewe na sio eti kutegemea ruzuku za Serikali.
Sasa hapo utajuaje kama unapata faida?
Yanatakiwa yawe kibiashara kama makampuni mengine.
Me nashauri haya mashirika ya umma yangeondolewa hiyo ruzuku ili yawe yanajiendesha kibiashara. Yakiwa na ruzuku yanaishia kuendeshwa kisiasa.!

hizo fitna za kumtoa tigopesa na mpesa kwenye market..
Me nashauri haya mashirika ya umma yangeondolewa hiyo ruzuku ili yawe yanajiendesha kibiashara. Yakiwa na ruzuku yanaishia kuendeshwa kisiasa.!
Kwahiyo unawashauri vipi?Kuipiku Tigo Pesa na Mpesa ni kazi ngumu, Airtel money wenyewe wapo wapo tu.