TTCL waita watu kwa usaili

TTCL waita watu kwa usaili

fazam

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
1,868
Reaction score
1,291
Wadau nimeona jamaa yangu ameitwa kwa interview TTCL tar 2 Oktober itafanyika Institute of Adult Education... System and Database Adminstrator!
 
Majina wameyaweka wapi kaka,kwenye gazeti,tovuti au wamempigia simu?
 
Majina wameyaweka wapi kaka,kwenye gazeti,tovuti au wamempigia simu?
Email.

Ila hawajatufikiria wenye kazi teyari, 9:30 siku ya kazi na short notice namna hii!!
 
habari zenu wana jamii Forum!

nimesikia kua TTCL wameita watu kwa usaili kesho tarehe 06/10/2015 pale Institute of Adult Education Building kwa kada mbali mbali, aliye niambia yeye ametumiwa hizi taarifa kwa njia ya email, sasa naombeni kuuliza je kuna yeyote mwingine aliyeitwa?
 
Ndiyowameita watu kesho.
 
Hata mie walinitumia ujumbe wa e-mail. But Sina uhakika coz Mbona waliandika tuende na material? Na mbona kwenye website Yao Hakuna tangazo Lolote?
 
Hata mie walinitumia ujumbe wa e-mail. But Sina uhakika coz Mbona waliandika tuende na material? Na mbona kwenye website Yao Hakuna tangazo Lolote?

Usiandike sana unajishusha,ile ni written interview/aptitude test,sasa wewe kuambiwa kwenda navifaa vyakuandikia tatizo nini hapo?
Wewe unashindwa hata kuangalia e-mail iliyotumika ina domain ya ttcl .. ttcl.co.tz??
Na kwani ni sheria au lazima waweke kwenye website yao?Mnalalamika kazi hakuna,mnaitwa interview hata kujua legitimate call for interview mnashindwa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom