Hivi hawa ttcl wana vifurushi vya usiku?
mimi mtandao wa simu bila kifurushi cha usiku wala sioni umuhimu wa kuwa na line ya simu.
Limtandao la hovyo sana hili. Sishauri yeyote kutumia huu uchafu. OvaHabari wakuu...
Kama tulivyokubaliana ni mwendo wa kusajili laini za TTCl tuamshe hii kampuni yetu ..imelala sana na meneja wa masoko kwenye hii kampuni cjui wanakwama wapi kumtumbua??
Enenwei ni ndoto yangu siku moja kuona Mtandao huu unatumika na % kubwa ya watu ili awa wengine wakome kutufanya sisi mazwazwa kila cku kutupandishia vifurushi..Nyuzi nyingi zimeelezea
Naomba kujuzwa tu menu ya TTCL mm nimeshasajili..wewe je unasubiri nini?
Uzi tayari
Naam Chief, tufike pahala hadi nyumba za makuti ziwe na Fibre ya Ttcl. Hii kushindana na kina Vodacom, Tigo na Airtel ni kitu hawato weza shinda.Wekezeni kwenye Fiber mitaani, na maeneo ya uswahilini pelekeni wifi, hakuna competition yoyote huko, mutakua nyie tu. Sio lazima Kung'ang'ania huku kwenye mobile data ambako kila mtu yupo.
Nilienda Mombasa kuna fiber/wifi hadi za 1mbps, kwa bei za kawaida tu 10,000 mpaka 15,000 ya huku.Naam Chief, tufike pahala hadi nyumba za makuti ziwe na Fibre ya Ttcl. Hii kushindana na kina Vodacom, Tigo na Airtel ni kitu hawato weza shinda.
Mbona na wao TTCL wamepandisha kama ni mpango??Kupandishwa kwa gharama mitandao mengine ni mpango maalumu unaofanywa kusudi na Government kuhamisha watu kwenda Ttcl
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanye yafuatayo kwanza;
Wapunguze gharama za vifurushi maana wao n wa upande wa umma
Waboreshe kasi ya mtandao wao wa internet, waweke walau 3G nchi nzima. Km ndege zinanunuliwa cash bas hata wao wanaweza kupewa cash kukuza uwezo wao
Waongeze vifurushi ili kutupa machaguo meng ya vifurushi kulingana na hali ya mtu
Hamna kitu .line nimeiweka ndani
Mimi napenda kuangalia Netflix je kampuni gani ya simu ina bando la usiku ambalo zuriHivi hawa ttcl wana vifurushi vya usiku?
mimi mtandao wa simu bila kifurushi cha usiku wala sioni umuhimu wa kuwa na line ya simu.