TTCL mnakula sana MBs

Kweli aisee nimebaki kutumia Kwa ajili ya usiku
 
Rudi nyumbani kumenogaaa
 
Kuna kipindi voda elfu 20 ulikuwa unapata GB 15 yaani nilikuwa natumia mwezi mzima...
 
Pole sana mkuu.
NiPM namba ya TTCL kwa msaada zaidi.
#RudiNyumbaniKumenoga
 
Mkuu juzi mzee baba@kcamp kanidondoshea link ya game moja matata
Si nkajidanganya bwana
Nkaweka 2000 kuanzia usiku saa6sijui bule nlisikia
Nkaanza kudownload kufika mb500 ikastack wanasema sinachochote


Bora vodacom
 
Tukiwaambia tuko kwenye Ufashisti ndiyo inabidi muelewe. Hizi ni pamoja ya athari zake.

Na mtalia sana hadi akili ziwakae sawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…