Kwa hiyo sasa hivi TTCL wapo vizuri sio?Sio wewe Tu hata mm nmtumia na nimewaacha Niko Kwa hawa walio pigwa faini halotel, Kasi ya TTCL 4G n Kali Ila hawana huruma ukiwasha data hulali nazo.
Asante sana ndugu, yaani ndani ya mwezi huu mpaka leo nimetumia GB 10.2 dah ni matumizi makubwa sana. TTCL wanakula sana MBs, so nafanyaje ku balance hii kituKwa mnaotumia kompyuta ya Windows, hakikisha connection yako umeiweka kuwa "metered".
Ukiwa unatumia Android hakikisha umeweka app ya Glasswire inayohesabu matumizi yako, ili kupata ulinganifu.
Hakikisha simu yako haina bloatware: iroot halafu ondoa app zote zisizo na maana.Naepukakana vipi na hili tatizo?
Utaalamu wa kuifanya hii kitu kwangu ni ngumuHakikisha simu yako haina bloatware: iroot halafu ondoa app zote zisizo na maana.
Weka firewall.
Uninstall VPN app.
Degoogle. tycrek/degoogle
Ukiweza Install ROM mpya kama vile
Paranoid Android
Pambana na wadukuzi Android - Platforms - PRISM Break
Na kadhalika.
Ni TTCL tu??? Mbona mitandao mingine haifanyi hv. Hv unafikiri nikinunua line ya TTCL nakuwa sina mitandao mingine?Utaalamu wa kuifanya hii kitu kwangu ni ngumu
Hizo 10 GB natumia kwa siku.Asante sana ndugu, yaani ndani ya mwezi huu mpaka leo nimetumia GB 10.2 dah ni matumizi makubwa sana. TTCL wanakula sana MBs, so nafanyaje ku balance hii kituView attachment 1657903
Simu yako ni modeli ipi?Utaalamu wa kuifanya hii kitu kwangu ni ngumu
juzi nikajisema wacha niwe mzalendo,nikasajiri line ya TTCL,kuweka vocha kupitia vodacom,wakanitumia sms kwamba sms vocha imefika,nikajiunga kifurushi cha watumishi,na salio likalimwa.
baadae sion mbs,dakika wala salio la sms,naangalia salio kuna shilingi 40 nauliza salio naambiwa hujajiunga kifurushi chochote,nikabaki sielewi nini kimetokea,mpaka sasa niko zangu voda sitaki kuwa na kiherehere tena.