kampuni yetu ya kitanzania inazindua Huduma ya 4G Leo kwa wakaz wa dar es salaam....Huduma hii itawezesha kupatikana kwa internet ya kasi kabisa .Huduma hii itaendelea mikoani apo baadae mwakani...huu ni mkakati wa TTCL kujirudisha kwenye biashara ya simu za mkononi baada ya kuhujumiwa miaka kadhaa na Airtel...
hongereni sana TTCL
hongera Magufuli
hapa kazi tu
source:nimealikwa uzinduZ
Pamoja na hayo TTCL walijilaani baada ya kutoa masafa ya CDMA pekee wakati watu wengi wanatumia GSM.Hii laana tulioirithi ya kutokuwa na uzalendo inatufanya tushindwe kuthamini mashirika yetu mfano TTCL wana bei nafuu kuliko makampuni yote ya simu lakini sisi hatuoni ilo tunabakia kuumizwa na wezi w mchana kina voda tigo na airtel. MUNGU atukomboe toka laana hiyo.
Pamoja na hayo TTCL walijilaani baada ya kutoa masafa ya CDMA pekee wakati watu wengi wanatumia GSM.
Waingie rasmi kwenye ushindani wa biashara ya mawasiliano, hasa upande wa data tunaumizwa sana na haya makampuni, naamini Watanzania ni wazalendo endapo huduma itakuwa nzuri.

Ni kweli tuwe wakweli hapa,baadhi ya Mawaziri,Wabunge na Board Members walikuwa wanaihujumu TTCL kila kona,nimeshukuru sana Wizara ya mawasiliano kuondolewa as an Independent entity walikuwa wanaipigia upatu/debe ViaTel/HaloTel kuliko TTCL - Serikali inapaswa kuchunguza kwa kina Kampuni hii ya Vietnam mkataba wao ulikuwa unasemaje maana naona kama walibadirisha gea angani bila shaka kwa kibali cha Wizara na TCRA, pesa walizo vuna wakiweka miundo mbinu za mawasiliano vijijini wakahanzisha Kampuni ya kwao ya Mawasiliano ya simu Nchini hii wapi na wapi??Hii laana tulioirithi ya kutokuwa na uzalendo inatufanya tushindwe kuthamini mashirika yetu mfano TTCL wana bei nafuu kuliko makampuni yote ya simu lakini sisi hatuoni ilo tunabakia kuumizwa na wezi w mchana kina voda tigo na airtel. MUNGU atukomboe toka laana hiyo.
Ni kweli tuwe wakweli hapa,baadhi ya Mawaziri,Wabunge na Board Members walikuwa wanaihujumu TTCL kila kona,nimeshukuru sana Wizara ya mawasiliano kuondolewa as an Independent entity walikuwa wanaipigia upatu/debe ViaTel/HaloTel kuliko TTCL - Serikali inapaswa kuchunguza kwa kina Kampuni hii ya Vietnam mkataba wao ulikuwa unasemaje maana naona kama walibadirisha gea angani bila shaka kwa kibali cha Wizara na TCRA, pesa walizo vuna wakiweka miundo mbinu za mawasiliano vijijini wakahanzisha Kampuni ya kwao ya Mawasiliano ya simu Nchini hii wapi na wapi??
Kazi ya mawasiliano vijijini ilipaswa kufanywa na TTCL uwezo huo wanao sana lakini basi tu wakapigwa vita na watu walio pewa dhamana ya kujali mashirika yetu ya UMMA kwanza kwa kuyapiga tafu -wakachangamkia makampuni ya kinyonyaji ya kigeni.
Ukosefu wa Uzalendo kutoka kwa baadhi ya Viongozi wetu ni janga la Kitaifa kashfa kama za RAHCO,TPA,TRA nk zipo karibu kwenye sehemu zote nyeti.
Sina nia ya kuwasema vibaya ViaTel/HaloTel lakini kuna umuhimu wa Narudia kusema kwamba Dk.Magufuli kuchunguza kwa umakini kilicho jili katika uwekezaji wa HaloTel, kuna kitu hakijakaa sawa pale.