Habari zenu ndugu zangu,nauliza mwenye taarifa yoyote kuhusu interview ya TTCL Iliofanyika TAASIS YA ELIMU YA WATU WAZIMA,Vip wameshatoa matokeo au kuna mtu yoyote amepigiwa simu? Naomba nifahamishwe jaman.
Wameshamaliza kusahihisha, kila post wameshortlist watu kumi.Wewe kaa mkao wa kula maana tuliokuwa pale Adult Education tulikuwa wengi sana,usichanganywe na wale watumishi watatu ambao walikuwa ni waajiriwa wa TTCL nakuhakikishia haki itatendeka hahahahaha

Sijaelewa, inakuwaje mwajiriwa wa TTCL anaomba tena kazi kampuni hiyo hiyo...
Unashangaa nini sasa hapo, mbona mimi nilikuwa BOA Bank Mwanza lakini posti za BOA Dar HQ zilivotoka nikaaply ndiyo nikahamishiwa Dar?
Haiendani.
Haiendani, haya watu tayari wameshaitwa interview ya pili sasa TTCL kama hujaitwa jua basi subiri wakitangaza kazi mpya
Haiendani, haya watu tayari wameshaitwa interview ya pili sasa TTCL kama hujaitwa jua basi subiri wakitangaza kazi mpya
Mkuu mbona hiyo ipo sana tu hapo ni kutaka kuwahalalisha tu nyie mnakuwa wasindikizaji tu!Sijaelewa, inakuwaje mwajiriwa wa TTCL anaomba tena kazi kampuni hiyo hiyo...