TTCL kuna tatizo gani kwenye kazi?

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,630
2,461
Naona kila kukicha wanatangaza kazi zile zile, wanakosa watu au wanashindwa kuwashikilia wakishawapata? Kama kuna mtu anaelewa atujulishe.

Kazi zipo hapa Login Page

  1. Head Business Unit
  2. Regional Manager (Re - Advertisement)
  3. Manager Network Development
  4. Manager Carrier Operators
  5. Public Relations Officer (Events Coordinator)
  6. Procurement Accountant
  7. Fixed Mobile Convergence Manager (Re - Advertisement)
  8. Manager, HR Administration and Industrial Relations
  9. ICT Security Engineer (Re - Advertisement)
  10. Network Engineer
  11. Systems and Database Administrator
  12. Developer/Analyst
 
Labda watu hawaombi hizo nafasi may be QUALIFICATION wanazotaka wao watu hawajazfikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom