Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Sina uzoefu na TTCL ADSL. Ila ninatumia Modem ya Smile speed yake ni nzuri sana
How can you compare one with few thousand subscribers and the other with more than a million subscribers?
Smile haina wateja wakijazana congestion itakuwepo but for now looks good
TTCL is second to none ujue tu kuitumia na what package to subscribe to hawana muda wakukueleza hilo
TTCL hata washushe vip bei zao ni majanga tu nina experience nao reliability = 0
Hallo JF Members.
Naomba kujua nani kinara wa Speed ya ukweli kwenye issue ya Network kati ya hao wawili nlowataja hapo juu!???
Je, Kitaalamu ADSL Internet Broadband Vs 4G LTE Internet ni ipi inayo deliver huduma kwa kiwango kinacho aminika Duniani!??
Naombeni Msaada kuhusu hili kwani TTCL Broadband nao saivi wameshusha Bei(gharama za Bundle). With effect from August First,2013. 10GB watakuwa wanauza kwa Tsh 110,000 wakati Smile wao 10GB wanauza kwa Tsh 118,000.
Ulikuwa unatumia package gani mkuu? Pamoja na hujuma za kuzidi TTCL is the ONLY true broadband internet provider in Tanzania, bomba lao ni kubwa, wanaamua kukufungulia maji kwa kadri unavyolipia, ukilipa kiduchu unapata tone moja kwa sekunde, ukilipa pesa ya kueleweka wanakufungulia maji mpaka unayakimbia. Tatizo kubwa liko kwenye huduma kwa wateja=0! Nina clients kadhaa ambao wanapata internet ya TTCL kupitia kwangu, wengi wao ni corporate hivyo wanalipia bandwidth za kuzidi, internet iko fast vibaya, achilia mbali siku wanakuwaga na matatizo ya net labda mkonga umekatika sehem flani hivyo wanakuwa offline wiki mbili, na matatizo mengine ya kiufundi ambapo inalazimika mtu wa mteja aliyeko singida apige simu TTCL dar, then wao wawapigie TTCL singida wawaambie kuna tatizo manyoni!!!!...now this is where i come in, kuhakikisha kuwa kampuni inapata mawasiliano ASAP, "kwa namna yoyote ile". 🙂
Hallo JF Members.
Naomba kujua nani kinara wa Speed ya ukweli kwenye issue ya Network kati ya hao wawili nlowataja hapo juu!???
Je, Kitaalamu ADSL Internet Broadband Vs 4G LTE Internet ni ipi inayo deliver huduma kwa kiwango kinacho aminika Duniani!??
Naombeni Msaada kuhusu hili kwani TTCL Broadband nao saivi wameshusha Bei(gharama za Bundle). With effect from August First,2013. 10GB watakuwa wanauza kwa Tsh 110,000 wakati Smile wao 10GB wanauza kwa Tsh 118,000.
ADSL = wire line
4G LTE = cellular 4th generation
Kuhusu kuaminika duniani lazima itakuwa ADSL kwani 4G LTE sehemu nyingi sana dunia hakuna. Halafu nafikiri siyo fair kulinganisha vitu visivyolingana. Ila kwa Tanzania sina jibu kwani sijawahi tumia ADSL na 4G LTE.
Nimetumia Smile Uganda pia nimetumia TTCL Tanzania
Kwanza kabisa SMILE wanatumia Telecom Towers na TTCL wanatumia cables(naomba nisema hii ya ADSL sio usb dongels sababu itakua sawa na SMILE)
TTCL is the Best sababu wanatumia cables endapo utatumia package ambayo haijakulimit speed sababu wanatoa hadi 8mbps bandwith ambayo sio mchezo kwa Tanzania na haina kelele hata kidogo.
Faida ya kutumia cable ni kwamba kunakua na mtambo ambao una ports za kutoa access za internet, mfano labda ports ni mia haiwezekani kuzidisha ukatoa huduma kwa wateja 101 unless umeongeza mtambo mwingine wa kuongeza ports so swala la network congestion linakua halipo.
SMILE is not the best compared na TTCL sababu wanadepend na network Towers na hizo kua congested ni swala la kawaida na speed ya wireless huwezi linganisha na ya Cable hata siku moja. Mtu wa cable atakuacha tu.
Kinachotakia ni TTCL ku improve department yao ya masoko tu
Your argument of cable vs cell towers is one of the BIGGEST misconceptions. Using cable does not mean kuwa ni FASTER it just means utakuwa na RELIABLE connection compared to using towers sababu kuna less interference. Mi natumia "SMILE Tanzania" nikiwa home na TTCL broadband wakati nafanya my short field attachment Dec - January katika benki fulani hivi mjini. I can boldly say based on my experience SMILE bado ipo light years ahead compared to wengine, ttcl inclusive.
And your argument ipo flawed in so many levels, it's like you are implying cable is always better, reliability wise true, speed wise "it used to be".
Nimeitumia hiyo SMILE Uganda na nikahamia Orange mkuu.... Pia TTCL nimetumia sana na current natumia TTCL, watu wanaiongea sababu wanaitumia ndivyo sivyo.
Mfano bank unapata labda 12mbps halafu una users wa compyuta zaidi ya 20 unategemea hiyo bandwith itatosha au ni kupoteza muda.
We umeongelea experience yako na mimi nimesema yangu, differences in speed are day and night from my experience... Mi sijatumia SMILE Uganda, nimetumia SMILE Tanzania na TTCL not in an office environment tu and based on MY experience I'll pick SMILE TZ anyday of the week and twice on Sundays....
Not disrespecting TTCL but I had higher expectations with all this "mkongo" wa taifa thingy, but hey, to each their own... It hasn't lived up to the hype last I checked whereas smile delivered what they promised...
We umeongelea experience yako na mimi nimesema yangu, differences in speed are day and night from my experience... Mi sijatumia SMILE Uganda, nimetumia SMILE Tanzania na TTCL not in an office environment tu and based on MY experience I'll pick SMILE TZ anyday of the week and twice on Sundays....
Not disrespecting TTCL but I had higher expectations with all this "mkongo" wa taifa thingy, but hey, to each their own... It hasn't lived up to the hype last I checked whereas smile delivered what they promised...
Nimetumia Smile Uganda pia nimetumia TTCL Tanzania
Kwanza kabisa SMILE wanatumia Telecom Towers na TTCL wanatumia cables(naomba nisema hii ya ADSL sio usb dongels sababu itakua sawa na SMILE)
TTCL is the Best sababu wanatumia cables endapo utatumia package ambayo haijakulimit speed sababu wanatoa hadi 8mbps bandwith ambayo sio mchezo kwa Tanzania na haina kelele hata kidogo.
Faida ya kutumia cable ni kwamba kunakua na mtambo ambao una ports za kutoa access za internet, mfano labda ports ni mia haiwezekani kuzidisha ukatoa huduma kwa wateja 101 unless umeongeza mtambo mwingine wa kuongeza ports so swala la network congestion linakua halipo.
SMILE is not the best compared na TTCL sababu wanadepend na network Towers na hizo kua congested ni swala la kawaida na speed ya wireless huwezi linganisha na ya Cable hata siku moja. Mtu wa cable atakuacha tu.
Kinachotakia ni TTCL ku improve department yao ya masoko tu
ndugu fanya utafiti wa kina ttcl ni kitu ingine
Ni kweli wana namba yao wanadai ni free call +255800100 haiiti,na wanakuambia wana vi bundle lkn huoni namna ya kujiunga hata kwenye web yao.
Nafikiri zile purity za sasatel kuifificha TTCL bado ipo kuna aja ya uongozi kuyatambua hata.