haya wadau, hayawi hayawi yamekuwa. power sharing deal is closed in Zimbabwe. Inshallah matatizo yaliyoigubika Zimbabwe yataisha.
Tsvangirai Sworn In As New Zim PM - Yahoo! News UK
Tsvangirai Sworn In As New Zim PM - Yahoo! News UK
mugabe anaweza kuwa sio mbishi, lakini tuangalie na upande wa pili kwa nini hao jamaa wa UK, USA wana msupport sana Morgan, na ukae ukijua hawa jamaa hawana marafiki wala maaduhi wa kudumu
tatizo la dunia sasa ina kiongozi mmoja tu USA, yeye habari anazotupa tunazipokea kama zilivyo bila kuchuja wala kufikiria, akishasema Mugabe ni mbaya bila kujaji chochote dunia nzima inakubaliana na hilo
tuwe makini