Wanatupunguzia mamluki,
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa CHADEMA tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?
hakuna upuuzi ulioa mukubwakama kudanganya nafsi yako, ndiyo tatizo linalo wasumbus hawa ndugu zetu, wanajua hawakubaliki, wanajua jinsi wanavyo tumia pesa za walipa kodi maskini kufanya upuuzi wao.....!!!!Haya wala mimi hayanipi homa. Hila za ccm za kununua watu na kuwabandika vyeo sio ngeni hapa Tanzania kwa watu wenye uelewa wa mambo. Ukifuatilia hata hizo kadi walizorudisha utabaini ni mpya na hata picha hazina. Hao ni wanachama wao wameamua kufanya usanii kuwa ndio wanarudi ccm ili kuwahadaa watu wa Gairo. Wanajidanganya wenyewe.
Nadhani hujajitambua ndo maana unaitwa mlengera:yo:Kumkana Lwakatare sio dawa!!! CDM Wanapaswa wajue bado ni wachanga kwa CCM!!! Miaka 36 madarakani sio kitu rahisi na cha mchezo!! Wakaze buti na wawe wavumilivu!!!