population ya Gairo ni gani?Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa CHADEMA tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.

ni kweli ilikuwa tsunami, cheki nyomi ya watu
ilibidi kuwahonga hela waliohuduhria pia.
wale wazee walioahidiwa maisha bora tangu enzi za mwalimu na bado wanasubiri kuona hayo maisha bora licha ya kuishi katika nyumba za tembe
na maisha ya umaskini wa hali ya juu.
wanachadema wengi na wapinzani walirudisha kadi zao kama picha inavyojieleza.
hata wanafunzi wa shule walikuepo kudhihirsha maisha tsunami ni kwa kila rika.
KWELI CCM NI TSUNAMI NA INAZIDI KUPENDWA NA RIKA ZOTE.
PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa CHADEMA tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?
Mkutano wote wahudhuriaji hawazidi 200 sasa tena wanachama wapya 200 nakitu. Hii ni kali sana made in TZ.
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa CHADEMA tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?
Mkuu Kageuka samahani, JF tuzungumze ISSUES zinazohusu mustakabali wa nchi hii. Inasikistisha sana kwamba CCM wakienda mikoani ajenda ni CHADEMA, je hawana ajenda yo yote ya maendeleo. Pressing issues kwa watanzania zipo na wanatakiwa wazitatue. Wanachofanya CHADEMA ni sawa sawa kabisa kwani ni wajibu wao kama Government in Waiting! CCM wajipange kutatua kero za wananchi na siyo kuishambulia CHADEMA on personal issues. CCM will be popular on that basis only vinginevyo inaonekana CCM INATIKISWA SANA NA CHADEMA AMBAYO INA WABUNGE CHINI YA 50.Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa CHADEMA tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa CHADEMA tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa CHADEMA tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa CHADEMA tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?
:yo:Kumkana Lwakatare sio dawa!!! CDM Wanapaswa wajue bado ni wachanga kwa CCM!!! Miaka 36 madarakani sio kitu rahisi na cha mchezo!! Wakaze buti na wawe wavumilivu!!!