Huyu Mhariri amekurupuka ,Hamisi hajakataa kuwa alihudumiwa story ndefuu huko nyuma,:aina ulazima ku bold gharama,ni haki yake kama mwajiriwa wenu,hata wewe mhariri inaweza kukutokea!yeye madai yake kwa sasa mnaelekea mmemchoka na mnamtosa hata usafiri kwenda hospitali,nyumba na mshahara!!ungeanzia hapo kujibu tuhuma!!ama la ungeenda mbali na kusema mmejadili nini huko TSN kuhusu hatma yake,na sheria ya kazi inasemaje!period!yalioandikwa ni upuuzi mtupu,jibu hoja!!