Kwani ni lazima kununua bidhaa hiyo TSN tu? Ukiona hali ni ya namna hiyo, hupashwi kuumiza kichwa sana, unatafuta tu supermarket nyingine maana zipo, na zimejaa kama uyoga!
..TRA nao wanasisitiza..
Mara kadhaa huwa nanunua bidhaa pale. Jamaa wameharibu display inayomwonyesha mteja kiasi cha kulipa na halafu hawatoi risit hadi uombe kupewa risiti.
Sasa wanachofanya ni hivi: kwanza wanachana lebo za bei (price tag) kwenye chanja, hivyo kwa walio wanokuja kununua vitu wanazoa bila kujua vinagharimu kiasi gani wakiamini kuwa machine pale counter zitasema.
Pili, wameharibu vioo vinavyomwonyesha mteja kila anapoongeza bidhaa katika orodha ya malipo. Kwa vile mteja haoni hesabu halisi, anasubiri kuambiwa lipa kiasi fulani. Japokuwa risit inaprint, hawatoi hadi uiombe.
Juzi nilinunua vitu vya sh 10500, ila yule dada cashier akanambia lipa 15000. Nikamlipa ela, ila nikamwambia anipe risit. Alivyotoa risiti, akanirudishia na change 4500!
Nilishtuka kwa vile nilikuwa nimeshakadiria bei. Lakni pia siku nyingine niliwahi kufanyiwa hivyo, niligundua baada ya kufika nyumbani.
So kuweni makini kudai risiti. Ila pia wahusika wahakikishe mteja anaona mwenyewe kiasi halali anachopaswa kulipa.
Shukran mkuu kwa taarifa