Tshirt za mtumba grade 1 zinauzwa

Tshirt za mtumba grade 1 zinauzwa

Igydia Nkoswe

Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
17
Reaction score
5
Habarini ndugu zangu,Kuna rafki yangu alikuwa akiuza T-shirt za mtumba za grade one hapa Dar sasa kapata ishu nyingine mkoani uko ya kuzunguka zunguka sana sasa kuna mzigo wa tshirt ulikuwa umebaki kwaio anauza kwa bei ya hasara tuili ziishe kama kuna mtu anahitaji zote kwa bei ya jumla jumla anicheki au kama atataka kwa chache anitafute tuzungumze
0757428729
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom