Tshirt prints

shine9091

Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
24
Reaction score
3
Habar zenu wapendwa
Nahitaji msaada wa mtu anayewez kutumia heat transfer machine kwa ajili ya ku print tshirt ..kofia..sahani.mug...keyholders. .table mates.
Asanteni
 
mkuu unapatikana wapi mm ninaprint kwa kutumia heat transper , screen printing, computerizing n.k.
karibu nipm mkuu
 
ladyfurahia unadigital prnta ya tshet?kama unayo bei gani kwa tshet moja full color,size A3?
 
mkuu unapatikana wapi mm ninaprint kwa kutumia heat transper , screen printing, computerizing n.k.
karibu nipm mkuu
Kama nimemuelewa vizuri mtoa mada ni kuwa anahitaji anayeweza kutumia hizo mashine kwa ajili ya kuprint hivyo alivyovitaja
 
asante kunielewesha ila nilishaongea naye

vipi mkuu umeshakuja nchini au bado?

Kama nimemuelewa vizuri mtoa mada ni kuwa anahitaji anayeweza kutumia hizo mashine kwa ajili ya kuprint hivyo alivyovitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…