Truth About WHATSAPP on N73

Surgical Blade

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
349
Reaction score
16
ukweli ni kwamba
Mpaka sasa hamna #Whatsapp inayo Run katika N73

japokuwa N-series nyngne zna Run whatsapp, siwez nikasema zina support mana hata N73 ina support ila hawa wa2 hawajaamua 2
kuna wakat ikasemwa Kwamba N73 haina #Wi-fi /WLAN
Lakin X2-01 haina specifications hzo lakin ina support,
hawa jamaa hawakutaka tu kudesign whatsapp special for Nokia N73,
labda huyu jamaa
#Bruce-Molyneux
aamue japo kuwahurumia hawa N73 users, mana hiz phone ambazo weng hujichanganya lakin siyo symbian, series-40 zimepewa nafasi muhmu kabxa ya ku support #Whatsapp
C3-00 / C3-01 / X2-00 /
X2-01 / X3-02 / 201 /
300 / 302 / 303 / 306 /
311

kuna wa2 wanadai et #N73 ni old phone, lakini up today #N73 still ni strongest Phone (Mninga) wanao ijua wananielewa
#Bruce-Molyneux Wahurumie jamaa hawa Wa N73
 
jamaa ka create kvp........... mbona mm natumia whatsapp kwenye c2 na wala situmii crack wala nn pia nmeweza kuweka kwenye asha 200 bila ku tafta hzo crack.............

pili ngoja n kueleze kitu...... whatsapp haitengenezwi kwa simu mayb kwenye s40 hasa asha inatengenezwa kutokana na simu... ila kwenye symbian inatengenezwa kutokana na version ya symbian................ ila uki hack nokia n 73 whatsapp inaingia vzur tuuuuuuuuuu
 

Daah af mkuu tomorrow I myt buy it!
 

Ukihack vipi mkuu hebu weka wazi. Navyojua n73 haina uwezo wa kuinstall .sisx files japokua ni s3rd phone. Sim hii inauwezo wa kuexecute java na j2me files only na ukijaribu kushusha whatsapp file linajidownload kama .sisx which is incompatible to n73 gadget!
 

Peleka maoni haya kule kwenye app suggestions Yao developer wanaweza kufanya kitu kwaajili ya watumiaji wa #N73 ..
 
hivi mnajua cost ya kutengeneza app? n73 ni zile s60v3 za mwanzo ambazo zina ram 64mb zote zimekosa whatsapp sababu kipindi whatsapp inatoka nokia ilishaacha kuziuza.

hata mkichanga laki laki watumiaji wote wa n73 hamuwez fidia cost ya kutengeneza whatsapp kwa simu hii nokia au whatsapp si wajinga
 

kaka me n Hacker Mzuri tu wa N73 na symbian nyngne, wewe unavyo niambia uki i hack inaingia vizuri tuu, czan kama una uhakika na unachosema!
 

Nashindwa kukuelewa mkuu, unaposema watumiaji wa #N73 hata wakichanga laki laki, hawawez kufidia cost za kutengeneza whatsapp, na wakati hata hawa wa2miaj wengne wanazpata kama ni #Free downloads.
 
Nashindwa kukuelewa mkuu, unaposema watumiaji wa #N73 hata wakichanga laki laki, hawawez kufidia cost za kutengeneza whatsapp, na wakati hata hawa wa2miaj wengne wanazpata kama ni #Free downloads.

kaka watumiaji wa n73 ni wachache sana. n73 inatumia symbian 3 na ilikua huwez kui upgrade kwenda 3.1 na 3.2 wakati simu nyingi tayari kama e71 zilikua zinarun 3.1

whatsap wao walianzia hapo 3.1 kwenda mbele hivyo ustegemee kupata whatsapp kwenye hio simu
 

unaposema 3.1 na 3.2 ni #firmware au?
Mana kama ni firmware N73 yangu nimeiacha ikiwa na #4 .083,
na ya mwisho ikaenda hadi
#4 .085 Kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…