Uyu nae na akili zake finyu, ivi afrika nako kuna nchi babe et, nchi zote za afrika haziwezi kufanya lolote kwa marekani, kama gadafi alipigwa pasipo msaada wowote wa afrika, sema kaona ni nchi ambazo haziwezi kupambana kivita anataka kuzisaidia tuu, kazionea huruma