Huku kitaa watu wana stori za ajabu sana eti ni tajiri mkubwa duniani na Marekani na anaweza kuwalisha wamarekani wote. Hivi watu wanadhani ni rahisi mtu mmoja kulisha nchi nzima?
Huku kitaa watu wana stori za ajabu sana eti ni tajiri mkubwa duniani na Marekani na anaweza kuwalisha wamarekani wote. Hivi watu wanadhani ni rahisi mtu mmoja kulisha nchi nzima?
Trump ni bwana mdogo sana,ni tajiri wa 156 marekani tu.sasa jiulize tajiri wa kwanza USA atakuwaje?trump utajiri wake ni dola bilioni 3.7 tu.Billget ndie tajiri namba moja USA na duniani,ana utajiri wa dola bilioni 75.trump ni bwana mdogo sana