leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,181
Huenda Rais D. Trump akawa rais wa kwanza wa marekani kufunguliwa mashitaka dhidi ya maamuzi yake au amri yake ya kwanza akiwa rais, amri hiyo ilitolewa kipindi kifupi baada ya kuapishwa kuwa rais wa marekani lakini ikikumbana na upinzani mkali toka kwa wananchi wa marekani, je huku ndio kukomaa kwa demokrasia au wamarekani wamekataa kuongozwa kibabe?Apple Considers Legal Options Against Trump’s Immigration Order