Trump kuwa mpole acha mipasho twitter

mcomunisti halisi

Senior Member
Jan 17, 2017
103
328
Sasa Trump analalamika Iran ana dominate Iraq ,wakati wao "Republicans" ndio wamesababisha chaos Iraq na wameshindwa kuyasuluhisha miaka yote.


Iran&Russia saizi wana dominate syria na saizi Iran anajidai Iraq na huenda Iran&Russia wakawa ma master middle east


Deal waliyoingia Iran na Obama mwaka jana inawapa kiburi

Kuwa mpole Trump endelea na mipasho yako Twitter huku Iran&Russia wakifanya yao kimya kimya bila kupost Twitter.


eccfdaf4654bd356f019470558bb461b.jpg
 
Huyu jamaa anaweza biashara ya makasino tuu,akitaka arudishe heshima ya nchi yake ajikite kutatua matatizo ya wamarekani kama alivyoahidi,lakini akijifanya mwehu ku deal sana na hizi diplomat issues na yeye kichwani hana anlojua kuhusu diplomasia atashtukia miaka nane imepita with nothing
 
Trump yupo close na social media than anybody hii tabia yake ya kitweet kila information hajaiacha yaani in short there is absolutely zero degree of difference between donald trump and president donald trump thats so good thank you.
 
Back
Top Bottom