TRUMP: Haitatokea Kombora la Korea Kaskazini Kutua Marekani

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
640_ZZZ_062416_world_2016_06_24_09_25_18.jpg

Siku chache baada ya Rais wa Korea kaskazini kujinadi kuwa anamalizia mradi wao wa kutengeneza kombora la masafa marefu la kuvuka mabara lenye uwezo wa kutua hadi New York yaani Intercontinental Ballistic Missile, Trump ameibuka na kusema hakuna kitu kama hicho wala haitatokea.
Hii ni mikwara au uhalisia sisi huku uswahilini yetu macho


******************
“Research and development of cutting edge arms equipment is actively progressing and ICBM rocket test launch preparation is in its last stage,” Kim said during a televised New Year's Day speech.

The US president elect was quick to respond, “North Korea just stated that it is in the final stages of developing a nuclear weapon capable of reaching parts of the U.S. It won't happen!,” Trump tweeted late Monday


“GMD has demonstrated a partial capability against small numbers of simple ballistic missile threats launched from North Korea and Iran; GMD flight testing, to date, was insufficient to demonstrate that an operationally useful defense capability exists,” DOD’s Office of the Director, Operational Test and Evaluation (DOT&E) concluded in January 2016.


Source:RT
‘Won't happen!’ Trump discards Pyongyang’s threat of looming ICBM rocket test launch
 
huyu mkorea sku akiweza kutoa kombora lakufka American bas trump kafa
 
Taarifa ambazo huwa zinasambazwa na baadhi ya vyombo vya Nchi za magharibi kuhusu Umasikini wa Kim na Taifa lake Korea kaskazini, huwa zina ukweli ndani yake..?

Manaake inashangaza kwa uwezo(technology )walionayo ya kutengeneza Makombora.
 
Taarifa ambazo huwa zinasambazwa na baadhi ya vyombo vya Nchi za magharibi kuhusu Umasikini wa Kim na Taifa lake Korea kaskazini, huwa zina ukweli ndani yake..?

Manaake inashangaza kwa uwezo(technology )walionayo ya kutengeneza Makombora.
Usikae ukawamini sana hao Western, propaganda nyingi
 
Back
Top Bottom