Trump: Biden is going with a weak hand

Joshua justine

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
788
Reaction score
1,015
Asee Trump kumbe ni kichwa kinoma asee, sikuliza maoni yake juu ya uzembe wote na aibu aliyoileta Joe kwa America, sikuliza maoni yake na kisha sikuliza maendeleo aliyoyafanya kwa jeshi la US kumbe bila yeye wangekuwa outdated technologically by now.

Remember ni Trump aliyemwambia Putin mwaka 2016 kama sikosei kuwa ukiendelea kutumia poison gas kule Syria naku - Nuke , na alimwambia direct by phone na Putin alituliza mzuka, kumbe vyombo vya habari vya magharibi ni sumu sana huyu jamaa ndio walimpaka matope kumbe ndio mtu bora zaidi kwao,

Hata hizo Juberin zinazomaliza vifaru vya warusi ni yeye ndie aliwapelekea Ukraine, kumbe bila Trump leo Ukraine wala isingekuwa na maajabu haya.


​
 
Marekani haiendeshwi kipambe wewee, na jeshi la marekani ndo lilimdamp out Trump
 
Ni Kichwa cha panya yule, [emoji1787]
Anavyoongea hapo japo briefly sana lakini unaweza kuona anakupitisha kwenye maamuzi magumu aliyofanya wakati wa utawala wake ambayo alionekana mwendawazimu ama very harsh president lakini anafafanua very well kwann aliamua vile .

Na anaua kwa kusema utawala wake ndio ulileta utulivu, wakati wa Obama putin ali annex Crimmea na wakati wa Biden ndio hayo yanayoendelea
 
Acha na vyombo vya habari

Trump angeendeleea kuwa rais wamarekani wao wenyewe wangeanza pigana mule ndani maaa ni racist by nature huwa ajali kabisa.

Kumbuka mliitwa shithole countries.

Angepiga nukes hata wao wagepigwa ingekuwa niwendo wa nukes tu

Russia atampiga ,iran atampiga,korea atampiga,

Na hao washirika wake watakaa kimya vita vya nukes vikianza maana amechokwa kujifanya mbabe wa kila mtu

So american system sawa trump was liability.

Watu wamefanya calculation zao na wakaamua kumtoa he was a mad president.
 
Of course yes, was a mad president, and thats why wanafikiri wanamuhitaji kwa ule ukichaa wake, maana bila shaka America inaenda kuanguka sasa, lile swala la matumizi ya dollar lililokuwa linafukuta miaka yote sasa ndio litafanyiwa kazi na wachina na warusi mpaka litakamilika kabisa,

mmarekani ufalme wa dunia hatakaa nao sana kutoka sasa, li Trump linasema ukichaa wake ama personality yake ilifanya kwamba likimkemea tu Putin alikuwa ananywea mapema sana wala yote haya yasingetokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…