Trump asks Republicans to withdraw healthcare bill after party leaders fail to secure enough votes

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Republicans in the US House of Representatives, short of votes, have withdrawn a healthcare bill drafted to repeal and replace "Obamacare".

House Speaker Paul Ryan on Friday withdrew the legislation after President Donald Trump called him and asked him to halt debate without a vote, according to Ryan spokeswoman AshLee Strong.

Just a day earlier, Trump had demanded a House vote and said if the measure lost, he would move on to other issues.

The latest development comes after lengthy negotiations among conservatives, moderates and others within the party ended without a deal.

Conservatives have condemned the Republican-drafted bill because it scraps Obamacare, but puts another government plan in its place. They believe healthcare should be left to the free market.

Democrats and moderate Republicans, meanwhile, fear the new bill will take insurance away from millions of people.
 
C7tWBJ5XwAETmDS.jpg
 
Hahahaa
Tatizo ni kuwa walitengeneza mswaada ambao ni kama wa kutaka ku mplease kila mtu kidogo kidogo, mwisho wa siku, liberals hawautaki Conservative hawautaki na Moderates hawautaki.
It was a reckless decision for the administration to beggin with healthcare bill.
Wangeanza hata na tax cuts.
 
Hivi huu uzi hapa ulipobandikwa ni mahali pake? Hizi Siasa wa US zinatakiwa kujadiliwa kwenye Jukwaa la Kimataifa. Moderator please act.
 
Mbona comment yako ni irrelevant shida ni Lugha?
wewe utakuwa mgeni hapa JF. Lugha ipi unayozungumza, Dutch, French, English, Kiswahili? Maana lugha ziko nyingi ati. Kinachozungumzwa hapa ni kuwa forum hii siyo ya pahali pa habari (Siasa, uchimi, sayansi, teknolojia, mazingira na kadhalika) za kimataifa. Umeelewa?
 
Huko ndiko kwenye siasa taifa kwanza sio huku eti chama kwanza!! Na kama haya yangekuwa yanafanyika na Afrika pasinge kuwa na miungu watu kamweee e!! Njaaa mbayaaa sana

Nipe mfano wa tukio linaloonyesha chama kwanza huku kwetu, maana mmezoea sana kusifia wazungu, kwani alietumbuliwa recently ni wa chama gani. Wewe ndio unaewaza chama kwanza, mkubwa wa nchi navomjua ni mzalendo na anawaza taifa kwanza, come again.
 
Hahahaa
Tatizo ni kuwa walitengeneza mswaada ambao ni kama wa kutaka ku mplease kila mtu kidogo kidogo, mwisho wa siku, liberals hawautaki Conservative hawautaki na Moderates hawautaki.
It was a reckless decision for the administration to beggin with healthcare bill.
Wangeanza hata na tax cuts.
Madaktari ndo kabisa hautaki sababu kumbuka unapoenda kumwona dr. kiasi unachotozwa ni mara kumi ya dawa utakayoandikiwa na hii bima inalipa. Ndo maana kama una Empire insurance unapokelewa haraka kuliko nyingine sababu hawa wanalipa vizuri madaktari.
 
Huyu jamaa naona mambo mengi alipanga kuyafanya yanapata vikwazo, ajichunguze
 
Nipe mfano wa tukio linaloonyesha chama kwanza huku kwetu, maana mmezoea sana kusifia wazungu, kwani alietumbuliwa recently ni wa chama gani. Wewe ndio unaewaza chama kwanza, mkubwa wa nchi navomjua ni mzalendo na anawaza taifa kwanza, come again.
Daud Bashite ni chama gani wewe mjusi kafiri
 
Back
Top Bottom